IMG 20181012 WA0007

Mwenyekiti wa Bodi ya TPA, Prof. Ignas Rubaratuka (kushoto) akisikiliza maelezo kuhusiana na uendeshaji wa Gati la Kasanga kutoka kwa Kaimu Meneja wa Bandari ya Kigoma, Bw. Ajuaye Msese wakati wa ziara ya Bodi hiyo iliyofanyika Bandarini hapo Alhamisi, Oktoba 11, 2018.

IMG 20181012 WA0004

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko (watatu kushoto) akitoa maelezo kuhusiana na utendaji wa Bandari ya Kasanga kwa Wajumbe wa Bodi ya TPA  wakati wa ziara ya Bodi hiyo iliyofanyika katika Bandari ya Kasanga Alhamisi, Oktoba 11, 2018.

IMG 20181012 WA0006

Mjumbe wa Bodi ya TPA, Bw. Renatus Mkinga (kushoto) akifurahia jambo wakati wa ziara ya Bodi hiyo katika Bandari ya Kasanga. Wapili kushoto ni Wajumbe wa Bodi, Bi. Jayne Nyimbo na Bw. Aziz Kilonge (watatu kushoto). Kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Kigoma, Bw. Ajuaye Msese.

IMG 20181012 WA0011

Wajumbe wa Bodi wakitoka kukagua ghala la kuhifadhi mizigo katika Bandari ya Kasanga.

IMG 20181012 WA0009

Mwenyekiti wa Bodi ya TPA, Prof. Ignas Rubaratuka akijadili jambo na baadhi ya Watendaji wa TPA katika Bandari ya Kasanga.

IMG 20181012 WA0010

Mwenyekiti wa Bodi ya TPA, Prof. Ignas Rubaratuka akiangalia jambo katika Bandari ya Kasanga.

IMG 20181012 WA00081

Mwenyekiti wa Bodi ya TPA, Prof. Igans Rubaratuka akifurahia jambo na baadhi ya Watendaji wa TPA. Kushoto ni Meneja wa Bodi, Bi. Anna Kessy na kulia ni Msaidizi wa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mrisho Suleiman Mrisho.