Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Stephen Kebwe Stephen azindua rasmi michezo ya Bandari. Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana na uzinduzi rasmi wa michezo ya Bandari 2018 uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumatatu, Oktoba 15, 2018.

The opening ceremony of the 2018 Bandari Inter-Ports Games took place on Monday, 15 October 2018, at the Jamhuri Stadium in Morogoro Region. The opening ceremony was officiated by the Morogoro Regional Commisoner, Hon. Kebwe Stephen Kebwe.

DSC 6456

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipiga penati na kufunga kuashiria uzinduzi rasmi wa michezo ya Bandari 2018 mjini Morogoro.

DSC 6340

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akiwapokea wanamichezo wa Bandari katika uwanja wa Jamhuri wapili kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya TPA na Mwenyekiti wa Kamati ya Bodi ya Utumishi, B. Jayne Nyimbo. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya  TPA, Bw. Aziz Kilonge.

DSC 6320

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe akiwapokea wanamichezo wa Bandari katika uwanja wa Jamhuri wapili kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya TPA na Mwenyekiti wa Kamati ya Bodi ya Utumishi, B. Jayne Nyimbo. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya  TPA, Bw. Aziz Kilonge.

DSC 6317

Wanamichezo wa timu ya Makao Makuu ya TPA wakiingia uwanjani.

DSC 6325

Timu ya Bandari ya Dar es Salaam ambao ni wenyeji wa michezo ikiingia uwanjani Jamhuri mjini Morogoro.

DSC 6330

Timu kutoka Bandari ya Tanga.

DSC 6332

Bandari ya Mtwara nayo ikiingia katika uwanja wa Jamhuri.

DSC 6338

Bandari ya Mtwara wakiingia kwa shangwe uwanja wa Jamhuri.

DSC 6348

Timu ambayo inahusisha Bandari zote za Maziwa nayo ikiingia katika uwanja wa Jamhuri.

DSC 6357

 Mashindano ya mwaka 2018 kwa mara ya kwanza yamehusisha timu kutoka Bandari ya Zanzibar.

DSC 6363

Bandari Zanzibar wakiwa wamechangamka wakiingia uwanjani kwa shangwe kubwa.

DSC 6372

Mbali na Bandari Zanzibar kwa mwaka huu pia mashindano yamewahusisha wachezaji kutoka kitengo cha Kontena cha TICTS.

DSC 6383

DSC 6386

DSC 6389

DSC 6391

DSC 6403'DSC 6428

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akizungumza na wanamichezo wa Bandari katika uwanja wa Jamhuri kabla ya kuzindua michezo hiyo.

DSC 6425

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TPA na Mwenyekiti wa Kamati ya Bodi ya Rasilimaliwatu, Bi. Jayne Nyimbo akizungumza na wanamichezo.

DSC 6395

Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo, Bw. Mussa Msabimana akizungumza na wanamichezo.

DSC 6439

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akimshukuru Mjumbe wa Bodi ya TPA na Mwenyekiti wa Kamati ya Bodi ya Utumishi, Bi. Jayne Nyimbo.

DSC 6441

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akimshukuru Mjumbe wa Bodi ya TPA, Bw. Renatus Mkinga.

DSC 6443

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akimshukuru Mjumbe wa Bodi ya TPA, Bw. Aziz Kilonge. Kushoto kabisa ni Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa TICTS, Bw. Donald Talawa.

DSC 6466

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPA.

DSC 6489

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akisalimiana na mchezaji wa timu ya soka ya Bandari ya Dar es Salaam.

DSC 6494

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akisalimiana na mchezaji wa timu ya soka ya Bandari ya Dar es Salaam.

DSC 6503

Wachezaji wa timu ya soka ya Bandari ya Dar es Salaam.

DSC 6509

Wachezaji wa timu ya soka ya Bandari za Maziwa.