Ijumaa, Novemba 30, 2018:

Matukio mbalimbali katika picha kuhusiana na ziara ya siku moja ya Wadau wa Biashara ya Mafuta kutoka nchini Uganda katika Bandari ya Dar es Salaam ambayo ilifanyika siku ya Jumanne tarehe 27, 2018. Katika ziara yao walitembelea katika eneo la ujenzi na maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, KOJ pamoja na mitambo ya usafirishaji mafuta iliyopo Kigamboni.

EALA 1

EALA 2

EALA 3

EALA 4

EALA 5

EALA 6

EALA 7