Ijumaa, Novemba 30, 2018:

Watendaji Wakuu wa Vyombo mbalimbali vya Ulinzi na Usalama kutoka Mataifa ya Afrika na China wametembelea Bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kujiongezea ujuzi kuhusiana na utendaji kazi wa Bandari. Ziara hiyo imefanyika leo Ijumaa, Novemba 30, 2018.

ULINZI 1

ULINZI 2

 

ULINZI 3

ULINZI 4

ULINZI 5

ULINZI 6

ULINZI 8

ULINZI 9

ULINZI 10

ULINZI 13

ULINZI 14