"DAR PORT" MABINGWA BANDARI INTER-PORTS GAMES 2019!

Bandari ya Dar es Salaam imeibuka na ushindi wa jumla katika michezo ya Bandari 2019 kwa kuibuka na vikombe na medali nyingi mbele ya washindani wao.

Katika michezo ya 13 ya Bandari kwa mwaka 2019 ambayo imefanyika Mkoani Morogoro hivi karibuni Bandari ya Dar es Salaam imefanikiwa kukinyakua kikombe cha ushindi wa jumla kilichokuwa kikishikiliwa na Bandari Tanga.

Michezo hiyo ilifanyika kwa kuzishirikisha timu mbalimbali za mpira wa miguu, kikapu, netiboli, kuvuta kamba (wanawake na wanaume), kurusha mkuki, kurusha tufe, riadha (mita 100, 200 na 400) na mchezo wa bao.

Timu mbalimbali zilishiriki michezo hiyo ikiwamo mabingwa wa mwaka huu "Dar Port" na mabingwa wa mwaka 2019 "Tanga Port". Timu nyingine zilizoshiriki ni pamoja na Bandari za Maziwa, Makao Makuu na Bandari ya Mtwara.

Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana na tukio la utoaji zawadi ambalo limefanyika mwishoni mwa wiki Oktoba 18, 2019 katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

BINGWA 3

BINGWA 1

BINGWA 35BINGWA 2BINGWA 6BINGWA 7BINGWA 8BINGWA 9BINGWA 10BINGWA 11BINGWA 12BINGWA 13BINGWA 14BINGWA 15BINGWA 16BINGWA 17BINGWA 18BINGWA 19BINGWA 20BINGWA 21BINGWA 22BINGWA 23BINGWA 24BINGWA 25BINGWA 26BINGWA 27BINGWA 28BINGWA 29BINGWA 30BINGWA 31BINGWA 32BINGWA 33BINGWA 34