MAHAFALI YA 18 YA CHUO CHA BANDARI KATIKA PICHA!

PIC 20

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye (MB) akizungumza na Wahitimu wa Chuo cha Bandari.

PIC 8

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko akizungumza na Wahitimu.

PIC 1

Mkuu wa Chuo cha Bandari, Dk. Joseph Kakeneno akisoma hotuba yake wakati wa Mahafali hayo.

PIC 5

Baadhi ya Wahitimu wakifatilia matukio mbalimbali katika Mahafali hayo.

PIC 9

Baadhi ya Wakufunzi wakifatilia matukio mbalimbali katika Mahafali hayo.

PIC 10

Baadhi ya Wahitimu wakifatilia matukio mbalimbali katika Mahafali hayo.

PIC 19

Mwakilishi wa Wanafunzi akisoma hotuba yake katika mahafali.

PIC 11

Baadhi ya Wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye (MB).

PIC 12

Baadhi ya Wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye (MB).