WAZIRI MBARAWA ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA BANDARI MPYA YA...
22 December 2025
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari Mpya ya Kisiwa Mgao, mkoani Mtwara, ambao umefikia asilimia 25 ya utekelezaji wake.
Akizungumza baada ya ziara yake ya kutembelea...
Tell Me More