MV SEA ARIES INAENDELEA KUHUDUMIWA BANDARI YA MTWARA IKIBEBA MITAMBO NA VIFAA...
05 July 2025
Bandari ya Mtwara imeendelea kuhudumia meli kutoka nchi mbalimbali ambapo tarehe 3 Julai 2025 imepokea meli ya MV SEA ARIES kutoka nchini China.
Meli hiyo imebeba tani 5,744.526 za shehena ya mizigo mchanganyiko ikiwemo magari, mitambo...
Tell Me More