VIONGOZI WANAOSOMA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI WAFANYA ZIARA TPA
21 April 2026
Msafara wa viongozi mbalimbali wanaosoma katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Machi 12, 2026 wametembelea Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa ajili ya kujifunza shughuli za kibandari.
Wakiongozwa na Mkurugenzi wa Mafunzo wa...
Tell Me More