Sélectionnez votre langue

Service de Fret

Nouvelles

SERIKALI KUJENGA GATI MPYA 10 BANDARI YA DAR

24 Avril 2026

Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaratibu mpango wa ujenzi wa gati mpya zipatazo 10 ili kuhudumia meli nyingi zaidi kwa wakati mmoja.   Kauli hiyo imetolewa katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...
  Dis m'en plus
KAMATI YA SIASA YA WILAYA YATEMBELEA BANDARI YA TANGA

24 Avril 2026

Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Meja Mstaafu Hamisi Mkoba imefanya ziara katika Bandari ya Tanga kwa lengo la kukagua hali ya utendajikazi wa bandari hiyo.   Akiongea mara baada kujionea hali...
  Dis m'en plus