MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI (TPA) ATEMBELEA BANDA...
21 Agosti 2026
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Bw. Plasduce Mbossa, akiongozana na Menejimenti ya TPA, ametembelea banda la TPA katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba), jijini Dar es Salaam, ambako yanaendelea...
Soma Zaidi