TPA BANDARI KAVU (ICD)

SIFA BAINIFU BANDARI KAVU UBUNGO BANDARI KAVU KWALA
Uwezo kwa Mwaka (Tani) 2500 TEUS 3500 TEUS
Huduma Zinazotolewa Kusimamia usafirishaji wa shaba nje ya nchi Kushughulikia mizigo iliyokaa muda mrefu  
Eneo la Hifadhi:
Eneo lenye kivuli (Sqm) 18,605 Hakuna
Yadi (Sqm) 87,010 600,000
Eneo lililopigwa lami (Sqm) 39,506 50,000
Eneo lisilopigwa lami (Sqm) 28,899 550,000
Vifaa vya Uendeshaji:
Foko (3-5 Tani) 2 2
Mitambo ya kubeba makasha (aina ya Reach Stacker) 1 2
Trela Hakuna 2
Malori Hakuna Hakuna
Matrekta ya Kuhamisha Mizigo Bandarini (TT) Hakuna 1
Miradi Inayoendelea Imepewa kwa msafirishaji wa shaba MS BRAVO GROUP Awamu ya kwanza inaendelea, ikisubiri awamu ya pili
Mipango ya Baadaye ya Upanuzi Kupata ardhi mpya na kusubiri mkataba wa upangaji umalizike Kupunguza msongamano wa Bandari ya Dar es Salaam kwa kuongeza bandari kavu

TPA Inapanga Kuendeleza Bandari Kavu Nyengine zilizoko:

  • lhumwa (Dodoma)
  • Fela (Mwanza)
  • Katosho (Kigoma)
  • Kurasini (Dar Es Salaam)
  • Isaka (Shinyanga)

KITUO CHA USAFIRI WA MAKASHA (CFS)

SIFA BAINIFU EX NASACO
Uwezo kwa Mwaka (Tani) 300,000
Huduma Zinazotolewa  
  1. Kupokea makasha matupu
  2. Kupokea mizigo ya kusafirishwa nje
  3. Kupokea makasha yenye mzigo
  4. Kupakua na kupakia mizigo kwenye makasha
  5. Ukaguzi
  6. Kuhamisha makasha yaliyojaa kwenda kituo cha kupakia
 
Eneo la Hifadhi:
Eneo lenye kivuli (Sqm) 5,251
Yadi (Sqm)
Eneo lililopigwa lami (Sqm) 29,436
Eneo lisilopigwa lami (Sqm) Hakuna
Vifaa vya Uendeshaji:
Foko (3-5 Ton) 8
Mitambo ya kubeba makasha (aina ya Reach Stacker) 1
Empty Handler 1
Trela 9
Daraja la kupima uzito 1
Trekta za Terminali 3
Trela 8
Malori 7
Miradi Inayoendelea Hakuna
Mipango ya Baadaye ya Upanuzi Hakuna