Bandari ya Mtwara

SIFA BAINIFU MTWARA
Ukubwa (Mita za Mraba) 2,719
Kina (mita) 9.5 hadi 13
Uwezo (Tani Metriki) 1,000,000
NYENZO
GATI
Idadi ya Gati 2
Urefu (Mita) 685
Kina (Mita) 9.5 hadi 13
HIFADHI
Ukubwa Wa Eneo la Hifadhi (Mita za Mraba) 159,000
Uwezo wa Hifadhi Kwa Mwaka (Tani Za Metriki Milioni) 1,700,000
Bandari Kavu Ya Kuhifadhia Magari 0
Eneo La Kuhifadhia Nafaka (Tani) 12,500
Bandari Kavu ya Kuhifadhia Makasha (ICDs) TEUs 12,950
Mfumo Wa Kutia Nanga Ufukweni (SPM) (Tani Metriki) 0
Gati ya Mafuta (Tani Metriki) 1
VIFAA (Idadi)
Winchi zinazotembea Bandarini (Tani 63 - 100) 3
Winchi Zilizosimikwa (SSG) 1
Mitambo ya Kubeba Makasha yenye Uzito wa Tani 45 (Aina ya Reach Stacker) 4
Mitambo wa Kuhamishia Makasha Tani 42 (Front Loader) 1
Winchi Inayotembea (Tani 25) 1
Winchi Inayotembea (Tani 50) 1
Foko (Tani 3) 5
Foko (Tani 5) 3
Foko (Tani 16) 1
Matrekta ya Kuhamisha Mizigo Bandarini (TT) 13
Boti Elekezi (Tugs) Inayosaidia Meli Kubaki Katika Njia yake Ikielekea Kutia Nanga au Kutoka Bandarini 3
Boti za Kuwezesha Meli Kutia Nanga 1
Mitambo ya Kuhudumia Mizigo ya Kichele (Hoppers)  5
Mitambo ya Kushika na Kunyanyua Mizigo (Grabs)  6