Kwa maswali yoyote au msaada, wasiliana nasi muda wote (24/7)
0800-110032
S. L. P 9184 Dar es salaam
dg@ports.go.tz
255 22 2130390
Habari Na Matukio Zambia
TPA YASHIRIKI KONGAMANO LATATU LA UCHUKUZI NA BIASHARA (LAND-LINKED ZAMBIA TRANSPORT ANDLOGISTICS...
18 Februari 2025
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kongamano la tatu la Uchukuzi na Biashara (Land-Linked Zambia Transport and Logistics event) lililofanyika Jijini Lusaka kuanzia tarehe 4 hadi 5 Aprili, 2024, limeiwezesha Tanzania kutangaza maboresho...