Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Ericsson House Plot No. 24B, AkiiBoa Rd ,Nakasero P. O Box 12339 Kampala Uganda Simu: +256 414 220702 Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Tuwasiliane
Kwa maswali yoyote au msaada, wasiliana nasi muda wote (24/7)
0800-110032
S. L. P 9184 Dar es salaam
dg@ports.go.tz
255 22 2130390
Habari na Matukio Uganda
KIKAO CHA WADAU NA WATEJA
03 Februari 2025
Wateja na Wadau wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) Nchini Uganda, wameipongeza TPA kwa maboresho makubwa yaliyofanyika katika Bandari zake na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma.
Pongezi hizo wamezitoa mwishoni mwa juma...