Huduma za Bandari

Usalama Kwanza

Usalama wa meli yako inapoingia katika bandari zetu ni moja ya vipaumbele vyetu vya juu. Tunatoa huduma kadhaa kwa meli zote zinazoingia katika bandari zetu, ikiwa ni pamoja na huduma za rubani na kufunga meli, ili kuhakikisha kuwa meli yako inatia nanga salama na kukuwezesha kuendesha biashara yako kwa usalama katika bandari zetu.

Huduma Zinazopatikana

Huduma za Rubani (Pilotage)

Cargo Service

Huduma za Mfumo wa Trafiki wa Meli (VTS) na urubani wa meli kuingia na kutoka bandarini zinapatikana kwa saa 24 kwa meli zote.

Huduma za Kuvuta (Tugging)

Tag Boat

Kuna boti za kuvuta zinazosaidia meli kufanya manowevu ya kuingia na kutoka bandarini.

Kufunga/Kufungua Meli (Mooring/Unmooring)

Huduma za kufunga/kufungua meli kwenye gati zinatolewa kwa kutumia boti za kufunga, boti za huduma, na boti za kuvuta kwa ajili ya kufunga meli zote.