Maswali ya Mara kwa Mara
Utampa nyaraka zako meli wakala wa upokeaji na usafirishaji aliyesajiliwa kuziwasilisha mamlaka ya Bandari na mamlaka ya mapato Tanzania.
Bandari kuu ya Dar es salaam ya TPA inatoa taarifa za kawaida kuhusu bandari zote. Ndiyo tunapokea wanafunzi wanapofanya mazoezi au kazi za ugani kwa makubaliano maalumu bila ya gharama yoyote kwa TPA. Kutokana na ukweli kwamba bandari zetu ni maeneo nyeti na tunapokea maombi mengi na ratiba za kazi nyingi bahati mbaya mamlaka ya bandari haiwezi kukubali maombi yote kutoka kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu.
Tanzania (TPA) haihusiki moja kuwa na shughuli hiyo. Tunakushauri uwasiliane moja kwa moja na tra au kampuni za meli za kontena.
Tafadhali tembelea tovuti za TRA zilizomo humu ambako utaona/kutumia kikotoo cha kodi. Bofya, kutembelea
Tunatoa huduma za kupokea/kuwasilisha shehena ndani ya saa 24/siku 7 kwa wiki.
1 Jina la meli au namba ya safari
2. Namba ya hati ya mizigo melini (uiongizaji) au nmba ya uwekaji nafasi (usafirishaji)
3. Namba ya kasha na alama za utambulisho na idadi ya vitu vitakavyochukuliwa
4. Ombi la kuwasilisha au dereva wa kuwasilisha hati ya mizigo melini.
Taarifa za meli zinapatikana kwenye orodha ya meli