Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Simu: +265 989 821 645 Simu: +265 789 821 645 Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Tuwasiliane
Kwa maswali yoyote au msaada, wasiliana nasi muda wote (24/7)
0800-110032
S. L. P 9184 Dar es salaam
dg@ports.go.tz
255 22 2130390
Habari na Matukio Malawi
RAIS WA MALAWI ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA TPA KATIKA MAONESHO YA...
26 Mai 2025
Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuendelea kutoa huduma bora na za kuaminika za kibandari kwa mizigo na shehena zinazoingia na kutoka nchini Malawi...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI ATEMBELEA OFISI...
07 Machi 2025
Matukio mbalimbali katika Picha wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, alipotembelea Ofisi ya TPA Jijini Lilongwe nchini Malawi hivi karibuni.
Mhe. Balozi Kombo, ameipongeza Mamlaka ya...