Bandari Ziwa Nyasa
Bandari za Ziwa Nyasa
Bandari kuu katika Ziwa nyasa ni Itungi/Kiwira na Mbamba Bay. Bandari ya Kiwira imeteuliwa kuwa Bandari ya kuhudumia shehena. Bandari ina gati la mafuta na hanamu inayoweza kuhudumia abiria na mizigo. Bandari ya Kiwira ina mitambo ya kuhudumia shenena kama winchi zinazotembea, Foko na mitambo ya kupakia na kushusha (Grabs). Bandari ya Kiwira inahudumia meli mbili za mizigo MV RUVUMA na MV NJOMBE na meli moja ya abiria inayoitwa MV. MBEYA II zinazomilikiwa na serikali ya Tanzania.
Sifa Bainifu za Bandari
SIFA BAINIFU | BANDARI YA MBAMBA BAY | BANDARI YA NDUMBI | BANDARI YA KIWIRA |
---|---|---|---|
Ukubwa (Mita za Mraba) | |||
Kina | |||
Uwezo (Tani Metriki) | |||
NYENZO | |||
GATI | |||
Idadi ya Gati | 6 | 6 | 6 |
Urefu (Mita) | 12 | 12 | 12 |
Kina (Mita) | |||
HIFADHI | |||
Idadi ya Maeneo vya Hifadhi | 2 | 2 | 2 |
Ukubwa wa Eneo la Hifadhi (Mita za Mraba) | 33276 | 33276 | 33276 |
Uwezo wa Kila Mwaka (Metriki Tani Milioni) | |||
Maeneo ya Kuhifadhi Magari | 0 | 0 | 0 |
Eneo la Kuhifadhia Nafaka (Tani) | 0 | 0 | 0 |
Bandari Kavu za Kuhifadhi Makasha (ICDs) TEUs | 0 | 0 | 0 |
Mfumo wa Kutia Nanga Ufukweni (SPM) (Metriki Tani ) | 0 | 0 | 0 |
Gati la Mafuta (Metriki Tani ) | 0 | 0 | 0 |
VIFAA (Idadi) | |||
Meli za Shehena Zenye Uwezo wa Kubeba Tani za Metriki 1,000 Kila Moja; na Meli Moja ya Abiria na Mizigo Ikiwa na Uwezo wa Kubeba Watu 200 na Tani 200 za Shehena. | 0 | 0 | 0 |
Winchi Inayotembea | 1 | 1 | 1 |
Kizoa Taka Kwa Ajili ya Menejimenti ya Kina | 0 | 0 | 0 |
Foko | 1 | 1 | 1 |
Mizani | 3 | 3 | 3 |
Mitambo ya Kuhamisha Mizigo | 3 | 3 | 3 |