Bandari za Ziwa Tanganyika

Bandari za Ziwa Tanganyika zinapatikatika katika mikoa mitatu ya Kigoma, Katavi, na Rukwa. Bandari kuu za Ziwa Tanganyika ni bandari ya Kigoma, Kibirizi, Kipili, Kasanga, Kagunga, Kabwe na Kirando. Bandari ya Kigoma imeunganishwa kwa barabara na reli hapa nchini na kwa nchi jirani na ina vifaa vingi ikiwemo miizani, matangi ya mafuta, karakana na eneo la kupumzikia abiria.

Sifa Bainifu za Bandari 

SIFA BAINIFU KIGOMA KIBIRIZI UJIJI KASANGA KAREMA KABWE KIPILI KAGUNGA
Ukubwa (Mita za Mraba)                
Kina (Mita) 5 hadi 7 3 3 13 4.5 6.5 6 4
Uwezo (Tani Metriki)                
NYENZO
GATI
Idadi ya Gati 6 1 1 1 1 1 1 1
Urefu (Mita) 310 257 18 120 150 124/32 22 50
Kina (Mita) 5 hadi 7 3 3 13 4.5 6.5 6 4
HIFADHI
Ukubwa wa Eneo la Hifadhi (Mita za Mraba)               750
Uwezo kwa mwaka (Tani za Metriki Milioni) 500,000 250,000   52,000 230,000      
Eneo la Kuhifadhia Shehena   (Magari)                
Eneo la Kuhifadhia Nafaka (Tani)                
Bandari Kavu ya Kuhifadhia Makasha (ICDs) TEUs                
Mfumo wa kutia Nanga ufukweni (SPM) (Tani za Metriki)                
Gati la Mafuta (Tani za Metriki) 1              
VIFAA (Idadi)
Winchi Inayotembea Katika Reli 1              
Mitambo ya kubeba makasha (aina ya Reach Stacker) 1              
Winchi Inayotembea (Mobile Groove)       1        
Foko 11     2 2 1    
Winchi Kubwa za Bandarini (Portal Cranes) 3              
Matrekta ya Kuhamisha Mizigo Bandarini (TT) 2              
Tela za Bandarini                
Winchi Nzito Zenye Magurudumu Maalumu         1