Bandari Ziwa Victoria
Bandari za Ziwa Victoria
Bandari kuu katika Ziwa Victoria ni Bandari ya Mwanza Kusini na Bandari ya Mwanza Kaskazini. Bandari zote mbili zimeunganishwa na barabara na reli na nchi jirani na zina vifaa vingi ikiwa ni pamoja na mizani ya kupimia magari, matangi ya mafuta, karakana na maeneo ya kupumzikia abiria. Mambo yote hayo na mengine yapo kuwezesha shughuli mbalimbali ndani ya Ziwa kuwa na ufanisi. Mbali na bandari hizi mbili kuu, Ziwa Victoria lina bandari nyingine nyingi ambazo zinafanya kazi kwa pamoja ili kuwezesha kupatikana kwa huduma mbalimbali ndani ya Ziwa Victoria.
Sifa Bainifu za Bandari
SIFA | BANDARI YA MWANZA KUSINI | BANDARI YA MWANZA KASKAZINI | BANDARI YA BUKOBA | BANDARI YA KEMONDO BAY | BANDARI YA MUSOMA | BANDARI YA NANSIO |
---|---|---|---|---|---|---|
Ukubwa (Mita za Mraba) | 12,045 | 12,320 | 43,500 | 474,400 | 66,500 | 5,000 |
Kina (Mita) | 5 | 4.5 | 4.5 | 4.5 | 4.5 | 2.5 |
UWEZO (Tani za Metriki) | ||||||
NYENZO | ||||||
GATI | ||||||
Idadi ya Gati | 3 | 3 | 3 | 3 | 2 | 3 |
Urefu wa Gati (Mita) | 280 | 202.5 | 202.5 | 129 | 160 | 100 |
Kina (Mita) | 5 | 4.5 | 4.5 | 4.5 | 4.5 | 2.5 |
HIFADHI | ||||||
Idadi ya Maeneo ya Hifadhi | ||||||
Ukubwa wa Eneo la Hifadhi (Mita za Mraba) | ||||||
Uwezo Wake Kwa Mwaka (Tani za Metriki) | ||||||
VIFAA (Idadi) | ||||||
Winchi Kubwa za Bandarini (Portal Cranes)e | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
Foko | 6 | |||||
Boti Elekezi (Tug) | 1 | |||||
Winchi Inayotembea | 2 | |||||
Gati Linaloelea | 1 | |||||
Mizani | 4 |