Careers:

                                               

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

 

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO (ORAL INTERVIEW)

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatarajia kuendesha Usaili wa mahojiano (Oral Interview) kwa wasailiwa waliofaulu usaili wa Vitendo. Usaili utafanyika siku ya tarehe 04-05-2017 katika Uwanja wa Taifa(National Stadium) saa moja kamili asubuhi.

WASAILIWA WANATAKIWA KUFIKA NA VYETI VYAO HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES) PAMOJA NA PICHA MOJA (PASSPORT SIZE) NA KITAMBULISHO.


Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatarajia kuendesha Usaili wa Vitendo kwa wasailiwa waliofaulu usaili wa mchujo.

Usaili utafanyika siku ya tarehe 02-05-2017 katika Taasisi ya Teknologia Dar es Salaam (Dar es Salaam Institute of Technology-DIT)

Download :

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO.pdf
Popular 1.63 MB 1053
30/04/2017 05:38:50

 

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MCHUJO (APPTITUDE TEST) VITENDO (PRACTICAL) NA MAHOJIANO (ORAL INTERVIEW)

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatarajia kuendesha zoezi la Usaili wa Mchujo, Vitendo na Mahojiano kwa Waombaji Kazi waliotuma Maombi kufuatia Tangazo la Kazi la Tarehe 10 Machi, 2017 kwa ajili ya kujaza Nafasi Mbalimbali za Kazi.

Download :

 

NB: TPA IS AN EQUAL OPPORTUNITY EMPLOYER