Sélectionnez votre langue

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa (katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi na Maendeleo ya Miundombinu Nchini Zimbabwe Mhe. Mha. Joy Makumbe (wa pili kushoto ), wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Ofisi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Jijini Harare nchini Zimbabwe, tarehe 16 Oktoba, 2023.

Wengine katika picha ni Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Mhe. Simon Sirro ( kushoto) na aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA Mha. Juma Kijavara ( kulia).

Contactez-nous

Pour toute question ou assistance, contactez-nous 24h/24 et 7j/7.
0800-110032
P.O Box 9184 Dar es salaam
dg@ports.go.tz
255 22 2130390

Nouvelles Zimbabwe

TPA YASHIRIKI MAONESHO YA 64 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA ZIMBABWE (ZITF)

18 Février 2025

Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA ) kwa ufanisi na ubora wa huduma za kibandari kwa Tanzania na nchi jirani ikiwemo nchi ya Zimbabwe. Mhe. Rais Mnangagwa ametoa...
  Dis m'en plus
TPA YAFUNGUA OFISI NCHINI ZIMBABWE

18 Février 2025

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa (katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi na Maendeleo ya Miundombinu Nchini Zimbabwe Mhe. Mha. Joy Makumbe (wa pili kushoto ), wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa...
  Dis m'en plus