By Leonard Magomba from Kigoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari za Kibirizi na Ujiji pamoja na Jengo la Utawala mjini Kigoma
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Prasduce Mbossa akitoa maelezo ya mradi wa Kibirizi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan mara baada ya Mhe. Rais kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari za Kibirizi na Ujiji pamoja na Jengo la Utawala mjini Kigoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Prasduce Mbossa mara baada ya Mhe. Rais kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari za Kibirizi na Ujiji pamoja na Jengo la Utawala mjini Kigoma