Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Ziwa Nyasa, Mkoani Ruvuma