Sélectionnez votre langue

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) IGP Mstaafu Balozi Ernest Mangu akifuatilia uwasilishwaji wa hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, tarehe 13 Mei, 2026, Bungeni Mjini Dodoma.