Sélectionnez votre langue

Chuo cha Bandari kimeendesha warsha ya siku mbili ya utafiti iliyowakutanisha wanataaluma wa Chuo hicho na wale wa nje kwa lengo la kuimarisha na kuendeleza mipango ya kitafiti ya Chuo hicho.

 

Katika warsha hiyo jumla ya mapendekezo matatu ya kitafiti yaliwasilishwa na kujadiliwa ili kuyaongezea ubora utakaofikia viwango vya juu vya kitaaluma.