Sélectionnez votre langue

Baraza Dogo la Majadiliano (JIC) la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) tarehe 2 na 3 Oktoba 2025, limefanya kikao cha Hamsini na tisa (59) kilichofanyika mjini Bagamoyo Mkoa wa Pwani. 
‎‎Kikao hicho cha Baraza kimeongozwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu Mha. Dkt. Baraka R. Mdima. 

Uchaguzi 2025 Logo