MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI AKIFUATILIA UWASILISHAJI WA HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) Bw. Plasduce Mkeli Mbossa akifuatilia uwasilishwaji wa hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, tarehe 13 Mei, 2026, Bungeni Mjini Dodoma

EN
SW
FR
TPA ChatBot - "Nahodha"