WATUMISHI WA BANDARI TANGA WAUNGANA NA WATUMISHI WENGINE MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Watumishi wa Bandari ya Tanga wameungana na watumishi mbalimbali wa Mkoa wa Tanga kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi). Maadhimisho hayo Kimkoa yamefanyika Jjini Tanga katika Uwanja wa Mkwakwani
Maadhimisho hayo yalianza kwa maandamano yaliyopokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkt. Batilda Buriani ambaye ndiye aliyekuwa Mgeni Rasmi
EN
SW
FR
TPA ChatBot - "Nahodha"