Ziwa Tanganyika
Ziwa Tanganyika lipo katika Mikoa mitatu ya Kigoma, Katavi na Rukwa. Bandari kuu zilizopo katika ziwa hili ni ya Kigoma, Kibirizi, Kipili, Kasanga, Kagunga, Kabwe na Kirando. Bandari ya Kigoma imeungwa kwa barabara na reli na ina vifaa vingi vikiwemo mizani, matangi ya mafuta, karakana na eneo la kupumzikia abiria.
Sifa za Bandari ya Kigoma
- Ndio bandari kuu ndani ya ziwa Tanganyika
- Iko mkoa wa Kigoma
- Kuna eneo maalumu la Shehena, Abiria na kupakulia mafuta
- Imeunganishwa kwa barabara na reli hapa nchini nan chi za jirani
Miundombinu ya Bandari
Gati
- Gati la Kontena la meta 100
- Bidhaa za kawaida meta 210
- Kituo cha abiria meta 122.7
- Gati la bomba la mafuta meta 110
Vifaa
- Winchi inayoendeshwa kwenye reli
- Reach stacker
- Foko
- Winchi
- Matrekta
Uhifadhi
- Ghara Kuu
- Mabanda
Miradi Iliyotekelezwa
- Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Bandari katika Bandari ya Kigoma, ujenzi wa gati, ghala na eneo la kuhudumia abiria katika bandari ya Kibirizi na Ujiji kwenye Ziwa Tanganyika.
Bandari nyingine za Ziwa Tanganyika
BANDARI YA KIBIRIZI
Maelezo ya ziada
Tabia
- Ni bandari yenye shughuli nyingi inayohudumia abiria na mizigo kwa soko la ndani na la Jamhurti ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) Burundi na Zambia. Mahali ilipo
- Ipo kilometa 2.6 kutoka bandari ya Kigoma
- Jengo la abiria
- Ghala la mizigo
- Ofisi za bandari
- Ofisi ya Wadau
- Kuna gati kwa ajili mizigo na abiria
- Ujenzi wa gati, ghala na eneo la kuhudumia abiria
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Meneja wa Bandari Ziwa Tanganyika,Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),
S.L.P 911,
Kigoma, Tanzania
+255 (28) 2802275
Simu 1: +255 (0) 689 949 194
Simu 2: +255 (0) 713 220 588
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.