Tunafanya kazi na taasisi za serikali, kampuni za meli na benki ili kuwezesha huduma zetu kufanyika kwa urahisi kadiri inavyowekana kwa kufuata sheria na kanuni zote zinazohusu usafirishaji,uingizaji na utoaji wa shehena kupitia bandari zetu.
Taasisi za Kiserikali
- Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
- Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)
- Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC)
- Tanzania Zambia Railway (TAZARA)
- Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
- Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA)
- Wakala ya Vipimo na Mizani (WMA)
- Benki Kuu ya Tanzania (BOT)