Bandari Ziwa Victoria
Ziwa Victoria lina bandari nyingi lakini zilizo kubwa ni Mwanza Kusini na Mwanza Kaskazini ambazo zinaungwa na barabara na reli nchini na nchi jirani. Bandari hizi zina miundombinu ya kutosha, kuwezesha huduma za bandari ikiwamo mizani ya magari, matangi ya mafuta, karakana na jengo la abiria.Mbali na bandari hizi mbili Ziwa Victoria lina bandari nyingi zinazofanyakazi ya kutoa huduma kwa umma.
Sifa za Bandari
- Bandari hizi ambazo zipo mkoani Mwanza zimeunganishwa kwa barabara na reli nchini na nchi za jirani.
Miundombinu ya bandari
Gati
Bandari zina gati la shehena ya kawaida la meta 280 na Bomba la Mafuta ambalo lipo Mwanza Kusini. Gati namba moja lina meta 82.5 ( kituo cha shehena) Gati 2– meta 60 ni kituo cha abiria wakati Gati 3 – meta 60 (jengo la abiria) na gati la meta 10 kwa kituo cha abiria Mwanza Kaskazini.
Vifaa
- Winchi kubwa ya Bandini
- Foko
- Winchi itembeayo
- Kizoa taka chini ya maji (Water Master)
- Boti ya kuvutia / kuongozea meli Baharini
- Gati linaloelea
Uhifadhi
Kuna mabanda matatu yaliyopo Mwanza Kusini
Bandari ziwa victoria
BANDARI YA MWANZA SOUTH
Maelezo ya ziada
Miundombinu Mizani Linkspan Karakana ya mitambo Gati Vifaa Winchi kubwa ya bandarini Foko Winchi inayiotembea Mtambo wa kutolea tope Tishari Hifadhi Kuna maghala matatu (3) ambayo yapo Bandari ya Mwanza Kusini- Ipo mkoani Mwanza na maalumu kwa mizigo na mafuta na inaunganishwa nan chi jirani kwa barabara na reli.
- Mizani
- Linkspan
- Karakana ya mitambo
- Winchi kubwa ya bandarini
- Foko
- Winchi inayiotembea
- Mtambo wa kutolea tope
- Tishari
- Kuna maghala matatu (3) ambayo yapo Bandari ya Mwanza Kusini
BANDARI YA MWANZA NORTH
Maelezo ya ziada
- Ipo mkoani mwanza Maalumu kwa mizigo na abiria na inaunganishwa na barabara na treni kwa Tanzania na nchi jirani
- Mizani
- Jengo la abiria
- Matangi ya mafuta
- Gati la kwanza- Meta 82.5 kwa ajili ya mizigo
- Gati la pili Meta 60 kwa ajili ya abiria
- Gati la tatu 3 Meta 60 kwa ajil
- Jenereta
BANDARI YA KEMONDO
Maelezo ya ziada
- Ipo mkoani Kagera
- Iko mahususi kwa ajili ya mizigo ya kawaida na abiria na imeungwa na mikoa nan chi jirani kwa barabara.
- Jengo la abiria
- Linkspan
- Maghala matano ya muda
- Maghala ya kuhifadhia bidhaa
- Gati la meta 22 kwa ajili ya mafuta
- Gati la 1 – meta 70
- Gati la 2 – meta 22
- Gati la 3 – meta 37
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Meneja wa Bandari Ziwa Victoria,Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),
P. O. Box 3100,
Mwanza, Tanzania
Simu 1. +255 (28) 22541422
Simu 2. +255 (0) 787 250181
Faski. +255 (28) 22541422
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.