GARI AINA YA RANGE ROVER ITAUZWA KWA NJIA YA MNADA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 03 OKTOBA 2020, KUANZIA SAA 3 ASUBUHI, MNADA UTAKAOFANYIKA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM.

KWA YEYOTE ANAYEPENDA KUSHIRIKI MNADA HUO, ANAKARIBISHWA KUJA KUKAGUA GARI HILO BANDARINI KWA KUPITIA GETI NAMBA 7/8.

ILI KUPATA TAARIFA ZAIDI KUHUSU GARI HILO NA MNADA HUO, TAFADHALI FIKA TPA MAKAO MAKUU - KURUGENZI YA UNUNUZI NA UGAVI KUANZIA, TAREHE 25 SEPTEMBA, 2020, AU PIGA SIMU NAMBA+255 22 2116250

WOTE MNAKARIBISHWA