Ofisi ya reli pia ipo ndani ya ofisi ya Meneja wa Bandari au ofisi ya bandari ya karibu mahali panapoitwa one stop centre – huduma zote mahli pamoja, tafadhali wasilana kupitia ofisi za Meneja wa Bandari kuhusu maelezo zaidi kuhusu huduma za reli zilizopo ndani ya ofisi ya bandari: pddsm(@)ports.go.tz, pmtanga(@)ports.go.tz, pmtwara(@)ports.go. tz, pmmwanza(@)ports.go.tz, pmkigoma(@)ports.go.tz, pmkyela(@)ports.go.tz.
Mawasiliano yote yaelekezwe kwa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), S. L. P 9184, Dar es Salam. TPA One Stop Centre, Sokoine Drive, Ilala Tanzania, +255 222 116 250, +255 22 213 0390
Chama cha wamiliki malori ya usafirishaji (TATOA) kitakusaidia au kukupatia taarifa kamili kuhusu kampuni itakayokusaidia kusafirisha shehena yako. Tafadhali wasiliana na TATOA kwa maelezo zaidi kwa anwani ifuataayo:- Jacks Plaza, Ghorofa ya kwanza, kiwanja na 29A, barabara ya Nyerere S. L. P 40827, Dar es Salaam, simu ya mezani +255 222 863 041, Mkononi: +255 753 337 337.
Ofisi ya ushuru wa Forodha ya TRA iko ndani ya ofisi ya meneja wa Bandari au ofisi ya bandari ya karibu mahali panapoitwa One Stop Centre – Huduma zote mahali pamoja, tafadhali wasiliana kupitia ofisi za meneja wa Bandari kuhusu maelezo zaidi ya ofisi ya ushuru wa forodha: www.tra.go.tz
Taarifa za meli zinapatikana kwenye orodha ya meli