Tunatoa huduma za kupokea/kuwasilisha shehena ndani ya saa 24/siku 7 kwa wiki. 1 Jina la meli au namba ya safari 2. Namba ya hati ya mizigo melini (uiongizaji) au nmba ya uwekaji nafasi (usafirishaji) 3. Namba ya kasha na alama za utambulisho na idadi ya vitu vitakavyochukuliwa 4. Ombi la kuwasilisha au dereva wa kuwasilisha hati ya mizigo melini.