TPA yasimamia uendeshaji wa TICTS ipasavyo kuanzia tarehe 01 Januari 2023 Januar
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) itachukua majukumu yote ya shughuri za kuhudumia shehena zilizokuwa zikihudumiwa na Kampuni ya Kimataifa ya hud...
Tuna zana, vifaa na mitambo ya kutosha kushughulikia shehena za aina mbalimbali. Timu zetu zenye wataalamu waliobobea katika nyanja mbalimbali wanafanya kazi saa ishirini na nne kuhakikisha
Huduma ya mfumo safari za vyombo vya majini (VTS), uongozaji wa vyombo vya majini vinapoingia na kutoka bandarini zinapatikana kwa saa 24 kwa meli za kontena, ROR na za bidhaa za kawaida, za
Tunafanya kazi kwa karibu sana na kushirikiana na wadau mbalimbali zikiwemo taasisi za serikali, kampuni za meli na benki kupata huduma zetu kwa urahisi kadiri iwezekanavyo na kufuata sheria na