HONGERA KWA MHE. BALOZI NA MKUU WA JESHI LA POLISI MSTAAFU KWA KUTEULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA TPA
Mhe. Balozi na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, Ernest Jumbe Mangu kwa kuteuliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)