MKURUGENZI MKUU WA TPA KATIKA KIPINDI CHA TUNATEKELEZA TBC 1
    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mkeli Mbossa, akiwa Katika kipindi cha TUNATEKELEZA kupitia TBC 1, akitolea ufafanuzi wa masuala kadhaa kuhusu mageuzi makubwa yanayofanyika katika uendeshaji wa Bandari nchini, tarehe 11 Juni,2025
                                                EN                    
                                                SW                    
                                                FR                    
                        
                        
        
                    TPA ChatBot - "Nahodha"