MKURUGENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM AONGOZA KIKAO KATI YA DP WORLD NA CHAMA CHA MAWAKALA WA MELI
    Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam Bw. Abed G. Abed ameongoza kikao cha siku moja kilichokutanisha maofisa wa DP Word na Chama cha Mawakala wa Meli kujadili changamoto mbalimbali katika shughuli za Kibandari za kila siku kwa lengo la kuongeza ufanisi katika kuhudumia meli katika Bandari ya Dar es Salaam
                                                EN                    
                                                SW                    
                                                FR                    
                        
                        
        
                    TPA ChatBot - "Nahodha"