TAARIFA KWA UMMA (UFAFANUZI JUU YA TAARIFA ZISIZO SAHIHI ZA MZIGO INAYOPITA BANDARI YA KIGOMA)
Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kwa njia ya sauti kuhusu kuwepo kwa taarifa za uwepo wa Shehena ya Silaha zinazosafirishwa kwenda Kalemie nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupitia Bandari ya Kigoma. Kufuatia taarifa hizo potofu, Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzaia (TPA) inapenda kutoa ufafanuzi kama ifuatavyo


                                                EN                    
                                                SW                    
                                                FR                    
                        
                        
        
                    TPA ChatBot - "Nahodha"