TPA YASHIRIKI KUPANDA MITI KATIKA STESHENI KUU YA SGR DODOMA
    Ikiwa katika muendelezo wa kuelekea siku ya Maadhimisho ya Mazingira Duniani, Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Juni 04,2025, wameungana na wenzao wa Taasisi zingine zilizochini ya Wizara ya Uchukuzi kupanda miti katika Stesheni Kuu ya Samia Suluhu (SGR) Jijini Dodoma


                                                EN                    
                                                SW                    
                                                FR                    
                        
                        
        
                    TPA ChatBot - "Nahodha"