Select your language

Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Mei 13, 2026, kwa ajili ya uwasilishaji wa bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 
wa fedha 2026/2027. Bajeti hiyo inatarajiwa kueleza vipaumbele vya sekta ya uchukuzi kwa mwaka ujao wa fedha 2026/27, ikilenga kuimarisha huduma na miradi mbalimbali ya usafiri na usafirishaji