UGENI WA MHE. MAKAMU WA RAISI NA WAZIRI WA UCHUKUZI LUBUMBASHI

Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdoe Mpango, Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa na ujumbe wake walisimama nchini DRC mji wa Lubumbashi, hivyo taasisi za Tanzania, wafanyabiashara na diaspora waliopo Congo tulipata fursa ya kumsalimia tukiongozwa na Ubalozi mdogo Lubumbashi