Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imeshiriki katika Maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Kimataifa yaliyofanyika kuanzia Julai 30 hadi Agosti 04,2025 katika viwanja vya maonesho ya Biashara Jijini Lusaka, Zambia.

Maonesho hayo yaliyoshirikisha nchi 25 kutoka Barani Afrika, Asia na Ulaya, yamefungwa na Rais wa Jamhuri ya Botswana Mhe. Duma Boko, ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeng’ara ikitwaa Tuzo mbili za nafasi ya pili katika Sekta za Uchukuzi na Afya. 

Ushiriki wa Tanzania katika Maonesho hayo uliratibiwa na ofisi ya ubalozi wa Tanzania nchini Zambia na kushirikisha Taasisi mbalimbali zikiwemo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH).

Tuwasiliane

Kwa maswali yoyote au msaada, wasiliana nasi muda wote (24/7)
0800-110032
S. L. P 9184 Dar es salaam
dg@ports.go.tz
255 22 2130390

Habari Na Matukio Zambia

TPA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 97 YA KILIMO NA BIASHARA YA KIMATAIFA...

05 Agosti 2025

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imeshiriki katika Maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Kimataifa yaliyofanyika kuanzia Julai 30 hadi Agosti 04,2025 katika viwanja vya maonesho ya Biashara Jijini Lusaka, Zambia. Maonesho...
  Soma Zaidi
TPA YASHIRIKI KONGAMANO LATATU LA UCHUKUZI NA BIASHARA (LAND-LINKED ZAMBIA TRANSPORT AND...

18 Februari 2025

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kongamano la tatu la Uchukuzi na Biashara (Land-Linked Zambia Transport and Logistics event) lililofanyika Jijini Lusaka kuanzia tarehe 4 hadi 5 Aprili, 2024, limeiwezesha Tanzania kutangaza maboresho...
  Soma Zaidi
Uchaguzi 2025 Logo