Huduma za Shehena
Gati la Mafuta la Kurasini
Kituo cha Makasha

Habari Na Matukio

BANDARI YA DAR ES SALAAM IMEPOKEA MELI YENYE WATALII 516 ‘THE CRYSTAL...

05 Januari 2026

Bandari ya Dar es Salaam, terehe 2 Januari 2026 imepokea meli ya kitalii inayoitwa The Crystal Symphony ikiwa na watalii 516 ambao wametembelea vivutio mbalimbali hapa nchini. ‎Wakala wa Meli hiyo Bw. Gilbert Nikata, amesema meli...
  Soma Zaidi
TPA YAPOKEA MELI KUBWA YA KISASA INAYOENDESHWA KWA NISHATI SAFI (LNG)

05 Januari 2026

Link: https://www.instagram.com/reel/DS7mMD9iAys/?igsh=bnhpZm4wcXpwa3Fi  Bandari ya Dar es Salaam imeandika historia mpya baada ya kupokea kwa mara ya kwanza meli kubwa ya kisasa inayoendeshwa kwa nishati safi ya gesi asilia (LNG) iitwayo Höegh Australis, inayomilikiwa na kampuni ya...
  Soma Zaidi