CHUO CHA BANDARI YATOA MAELEZO NA MAFUNZO KWA WANAFUNZI NA WAZAZI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE

Chuo cha Bandari kinaendelea kutumia fursa ya ushiriki katika Maonesho ya Wakulima (Nanenane) kukutana na kutoa maelezo ya mafunzo yatolewayo na umuhimu wake,kwa wazazi na wanafunzi wa shule mbalimbali zilipo mjini Dodoma na mikoa ya jirani waliotembelea banda la TPA lililopo viwanja vya Nzuguni