WAFANYAKAZI WA TPA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KIMKOA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KINONDONI DAR ES SALAAM

Wafanyakazi Wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) kituo cha Bandari ya Dar es Salaam wameungana na wanawake wote Duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika viwanja vya leaders Club vilivyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho hayo yameongozwa na Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaama Mhe. Albert Chalamila yakiwa na kauli mbiu “Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Urawa na Uwezeshaji.