Watumishi wa Bandari ya Tanga wameungana na watumishi mbalimbali wa Mkoa wa Tanga kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi). Maadhimisho hayo Kimkoa yamefanyika Jjini Tanga katika Uwanja wa Mkwakwani

Maadhimisho hayo yalianza kwa maandamano yaliyopokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkt. Batilda Buriani ambaye ndiye aliyekuwa Mgeni Rasmi