WAZIRI WA UCHUKUZI AKIWASILI BUNGENI
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Mei 13, 2026, kwa ajili ya uwasilishaji wa bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka
wa fedha 2026/2027. Bajeti hiyo inatarajiwa kueleza vipaumbele vya sekta ya uchukuzi kwa mwaka ujao wa fedha 2026/27, ikilenga kuimarisha huduma na miradi mbalimbali ya usafiri na usafirishaji

EN
SW
FR
TPA ChatBot - "Nahodha"